Judges 5:28


28 a“Kupitia dirishani mamaye Sisera alichungulia;
nyuma ya dirisha alilia, akasema,
‘Mbona gari lake linachelewa kufika?
Mbona vishindo vya magari yake
vimechelewa?’
Copyright information for SwhKC